WAZIRI UMMY MWALIMU ATEMBELEA JENGO LA MAMA NA MTOTO
Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu leo ametembelea Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya kitengo cha mama na mtoto - META kuangalia hali ya ujenzi katika Jengo jipya la Huduma za Afya ya Mama na Mtoto linalotarajiwa kuwekwa jiwe la msingi Tarehe 5 Agosti 2022 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
Comments
Post a Comment