Naibu Waziri wa Ardhi na Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mhe.Ridhiwani Kikwete leo tarehe 21.08.2022 amefanya Mikutano na Wananchi wa Lugoba na Miono kwa nyakati tofauti na kuhamasisha wananchi kushiriki zoezi la sensa siku ya 23.08.2022 Jimboni kwake Chalinze.
Comments
Post a Comment