RAIS SAMIA AWASILI MBEYA KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU 4
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali wakati alipowasili Uwanja wa Ndege wa Songwe Mkoani Mbeya.
Mheshimiwa Rais atakuwa na ziara ya Kikazi ya siku nne Mkoani Mbeya ambapo atatembelea na kukagua miradi ya maendeleo na kuongea na wananchi katika wilaya tofauti Mkoani Mbeya.
Comments
Post a Comment