RAIS SAMIA AKISALIMIANA NA WANANCHI WA CHALANGWA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na kuzungumza na Wananchi wa Kijiji cha Chalangwa Wilayani Chunya Mkoani Mbeya alipokua njiani akielekea Chunya mjini tarehe 05 Agosti, 2022.
Comments
Post a Comment