SERIKALI MKOANI MBEYA YAMPONGEZA MWASELELA
Serikali mkoani Mbeya imempongeza Mdau wa Maendeleo Ndele Mwaselela kwa michango yake anayoitoa kwenye ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya ikiwemo kongamano la kumpongeza Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan na leo tena ametoa kiasi cha Tsh.Milioni nne kwaajili ya michezo ya kukuza vipaji vya vijana wa mkoa huo yajulikanayo Mbeya Super Cup 2022 yanayofanyika wilayani kyela hayo yamezungumzwa na Katibu Tawala wa Mkoa huo Dkt.Angelina Lutambi alipokuwa ametembelewa na Mwaselela.
Comments
Post a Comment