Ridhiwan Kikwete akabidhi gari la kubebea Wagonjwa Jimboni Kwake


Naibu Waziri wa Ardhi Mhe.Ridhiwani Kikwete leo tarehe 27.07.2022 amekagua Maendeleo ya Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya Msoga na kukabidhi Gari la Kubebea Wagonjwa lililotolewa na Serikali ya Jamhuri Muungano wa Tanzania.


"Gari hili ni moja wapo kati ya magari manne yanayotarajiwa kufika katika Halmashauri ya Chalinze. "Serikali imekwishatoa Tsh. Bilioni 2.1 kwa hospitali hiyo"Ridhiwani Kikwete


Naibu Waziri wa Ardhi Mhe.Ridhiwani Kikwete akikagua Hospitali ya wilaya ya Msoga.

Comments