NAIBU WAZIRI AMEFANYA MAZUNGUMZO NA UONGOZI WA CITI BENKI


Naibu waziri wa Uchukuzi, Atupele Mwakibete (mwenye suti ya Kijivu), amekutana na kufanya mazungumzo na Uongozi wa CITI benki katika hotel ya Hyatt Regency iliyopo Jijini Dar es Salaam ambapo pamoja na mambo mengine wamejadili kuhusu uwekezaji kwenye miradi nchini.


Comments