MKWAWA LEAF KUNUNUA TANI MILIONI 10 ZA TUMBAKU KWA MWAKA



Kampuni ya Mkwawa Leaf, leo tarehe 20.07.2022 imekutana na Mbunge wa Jimbo la Lupa wilayani Chunya mkoani Mbeya Mhe.Masache Kasaka Kampuni hiyo imejitambulisha kwa Mbunge na kufanya mazungumzo kuhusu zao la Tumbaku katika  wilaya ya Chunya. Kampuni ya Mkwawa Leaf imejipanga kununua Tani Mil 10 kwa Mwaka .

Comments