MWALUNENGE ATETA NA SHIRIKISHO LA WALIMU MAKADA WA CCM MKOA WA MBEYA

Mgombea Ubunge kupitia Jimbo la Mbeya Mjini na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mbeya Patrick Mwalunenge  tarehe 20 Septemba 2025 amekutana na Shirikisho la Walimu Makada wa CCM mkoa huo na kuwaomba kutafuta kura za heshima za Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt.Samia Suluhu Hassan  Wabunge pamoja na Madiwani wote wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Mbeya







Comments